To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Wednesday, November 16, 2011

Benki Ya NBC Yatoa Somo Kwa Huduma Ya Islamic Banking

 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es
 Salaam (UDBS) wakimsikiliza  Mkurugenzi Mtendaji wa Islamic Banking wa
 Benki ya Absa, Amman Muhammad (hayupo pichani) mara baada ya semina
 kuhusu taratibu za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu
 iliyoandaliwa na Benki ya NBC Tanzania kwa kushirikiana na UDBS chuoni
 hapo Dar es Salaam leo. NBC ambayo Absa inamiliki hisa kubwa ilizindua
 akaunti zinazofuata misingi ya kiislamu hivi karibuni.

Mkurugenzi Mtendaji wa Islamic Banking wa Benki ya Absa, Amman
Muhammad (wa tatu kushoto) akizungumza na baadhi ya wafunzi wa Shule
ya Biashara ya Chuo Kikuu ch Dar es Salaam (UDBS) mara baada ya semina
kuhusu taratibu za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu
iliyoandaliwa na Benki ya NBC Tanzania kwa kushirikiana na UDBS chuoni
hapo Dar es Salaam leo. NBC ambayo Absa inamiliki hisa kubwa ilizindua
akaunti zinazofuata misingi ya kiislamu hivi karibuni. Wa nne kushoto
ni Mshauri wa Kiufundi wa Islamic Banking wa NBC, Yassir Salim.

No comments: