To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Monday, November 21, 2011

Dr. Mary Nagu Azungumza na Asasi Za Kiraia (AZAKI)

Mheshimiwa Mary Nagu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji akiongea na washiriki wa tamasha la AZAKI wakati akiongea nao wakati kifungua tamashya hilo lililoanza leo kwenye Ubungo Plaza kwenye Hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es salaam, tamasha hilo ambalo linaambatana na maonyesho ya bidhaa mbalimbali za wana AZAKI yatafanyika kwa siku tatu mfurulizo.

Mkurugenzi wa Asasi za Kiraia AZAKI Bw. John Ulanga akizungumza katika ufunguzi wa Tamasha hilo kabla ya Waziri Dk. Mary Nagu kufungua tamasha hilo asubuhi hii katika hoteli ya Bleu Pearl.

Baadhi ya washiriki wa Tamasha hilo wakimkaribisha Waziri Dk. Mary Nagu wakati alipokuwa akiiingia katika ukumbi wa mkutano tayari kwa kuzindua tamasha hilo asubuhi hii.

No comments: