Rais wa zanzibar Dk Ali Mohamed shein akisalimiana na makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif hamadi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar,akitokea ziarani Dubai . |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na watoto baada ya kumvalisha shada la Mauwa jkana akitokea safarini katika nchi za UAE |
No comments:
Post a Comment