Baadhi ya Wahitimu wa MUM waliopokea Nondo zao jana wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chuo na baadhi ya wageni maalum katika mahafali ya nne ya Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro. Mkuu wa Chuo hicho, Mama Mwatumu Malale alitunuku shahada ya kwanza kwa wahitimu 272 wa fani mbalimbali za kielimu Picha na Shukuru Mohammed |
No comments:
Post a Comment