To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Monday, November 28, 2011

Soko Lawaka Moto Tunduma


Baadhi ya Wafanyabiashara na wakazi wa maeneo ya jirani na Soko kuu la Mji wa Tunduma jijini Mbeya wakishuhudia moto mkali uliokuwa unateketeza soko lao hilo leo.Moto huo ambao unadaiwa kuwa ulianza kidogo kidogo na baadae kuwa mkubwa kuanzaia majira ya saa 11 jioni ya leo. Taratibu za awali za kuuzima moto huo zilichukuliwa lakini hakukuwa na mafanikio yeyote na baadae walifika askari wa kikosi cha Zimamoto cha Mkoa mkoa wa Mbeya huku wakiwa na magari yao ambayo yalikuwa hayana maji,hali iliyofanya moto huo kuendelea kuteketeza soko hilo pamoja na mali zake.

No comments: