To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Sunday, November 20, 2011

UDOM YAIBUKA KIDEDEA KATIKA KINYANGANYIRO CHA REDDS UNI FASHION BASH 2011

Mshindi wa kwanza wa shindano la wanamitindo lililojulikana kama 'Uni Fashion Bash',Respicious Denis (kushoto)kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akipokea zawadi yake ya shilingi laki tano kutoka kwa mwakilishi wa TBL kanda ya kati John Tesha, baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma
Baadhi ya washiriki wa shindano la mitindo lililojulikana kama Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakicheza wakati wa utambulisho lililofanyika Royal Village Dodoma juzi
Baadhi ya washiriki wa shindano la mitindo lililojulikana kwa Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakicheza wakati wa utambulisho wa shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma juzi

Baadhi ya washiriki wa shindano la ubunifuwa mavazi lililojulikana kwa Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakitambulishwa jukwaani wakati wa shindano hilo.

 Mshindi wa kwanza wa ubunifu wa mavazi wa shindano la 'UNI fashion Bash' ,Irene Rwakatale (kushoto) akipokea akipokea zawadi yake ya shilingi laki saba kutoka kwa Meneja wa Redds, Victoria baada ya kutangazwa mshindi wa shindano hilo

Baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo malimbali vya mjini Dodoma wakishangilia wakati wa shindano hilo.

Baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo malimbali vya mjini Dodoma wakishangilia wakati wa shindano hilo.

Mwanamuziki wa kizazi kipya, Mwana FA, akishambilia jukwaa wakati wa shindano hilo.

No comments: