To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Thursday, December 8, 2011

SBL Yadhamini Timu Ya Wabunge Na Wawakilishi Kwa Vifaa Vya Michezo

Mkurugenzi wa  Mawasiliano kampuni ya SBL.Teddy,Mapunda akizungumza mbele ya  wanahabari mapema leo Makao Makuu ya ofisi hizo zilizopo  Oysterbay,jijini Dar,kuhusiana na udhamini wa mechi kati ya Timu ya  Wabunge na Timu ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar,itakayofanyika 9  Desemba kwenye Uwanja wa Uhuru,ikiwa ni sehemu mojawapo ya kusherehekea  miaka 50 ya Uhuru,aidha Teddy amesema kuwa udhamini wa timu hizo  umegharimu kiasi cha zaidi ya milioni 65.

Katikati ni Mkurugenzi  wa Mawasiliano kampuni ya SBL.Teddy Mapunda akikabidhi kombe kwa  viongozi wa timu ya Bunge na Timu ya Baraza la Wawakilishi.Pichani kulia  ni Kapteni wa timu ya Bunge,Mh Amos Makala na kushoto ni Mwenyeki wa  timu ya Baraza la Wawakilishi,Mh Hamza Hassani Juma.

Wawakilishi  nae akifafanua zaidi namna watakavyowakabili wapinzani wao Desemba 9  mwaka huu ndani ya Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Kapteni  wa Timu ya Wabunge,Mh Amos Makala akizungumza ni namna gani wamejipanga  kuhusiana na mechi hiyo itakayokuwa ya kusisimua dhidi ya mahasimu wao  Timu ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar.

No comments: