To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Thursday, March 22, 2012

Ajali mbaya la basi la Prince Muro iliyo tokea jana Usiku maeneo ya Senjele likielekea Tunduma. Mwendo kasi ndio chanzo cha ajali hiyo mmoja Afariki 14 Majeruhi

Muonekano wa gari hili la mizigo ambalo limeharibikia bara barani.

Mganga mkuu wa Hospitali ya Ifisi Dkt. Mbilinyi akiongea na moja ya majeruhi mapema leo.

Hawa ni majeruhi kati ya wale 14.

Baadhi ya Majeruhi walio nusurika katika ajali hiyo wakiwa katika Hospitali ya Ifisi kuelekea katika matibabu na kutazamwa kama wamepata matatizo yoyote.

Mmoja wa majeruhi ambae alikuwa anatokea Dar es salaam kwenda kuwasalimu ndugu zake Ileje aliye fahamika kwa jina moja tuu la Andendekisye akiwa katika Hospital ya Ifisi Mbeya Muda huu.
Baadhi ya mabaki ya vitu baada ya ajali hiyo jana usiku.


Hapa ndipo Basi la Prince Muro lilipo taka kuingia na kulikwepa gari hili na kupindukia upande wa pili.

Shimo hili limechimbika wakati wa ajali hiyo ilipo tokea jana usiku.


Hili Ndilo Gari la mizigo ambalo basi la Price muro lilitaka kulipita, na  baadae kushindwa na kupinduka baada ya kukutana na Gari lengine mbele yake.


Basi la Price Muro Baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia jana likielekea Tunduma kutokea Dar es salaam.

Hivi ndivyo zinavyo onekana Damu na viti kuharibika vibaya baada ya ajali hiyo iliyo tokea jana usiku.

Likiwa linaonekana baada ya kupinduka.

No comments: