To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, March 27, 2012

CCM na Kampeni Arumeru Jana

Msafara wa mgombea ubunge wa CCM jimbo la Arumeru MNashariki Sioi Sumariukitoka kwenye kambi ya CCM kwenda vijijini kwenye mikutano ya kampeni jana

Licha ya jimbo la Arumneru Mashariki kuwa na tatizo la maji katika
baadhi ya maeneo, yapo maebeo mengine ambako serikali ya CCM imeweza
kuwafikishia wananchi maji ya bomba karibu na makazi yao. Pichani,
wanafunzi wakichota maji kwenye bomba la maji safi lililopo kijiji cha
Sing'isi jana. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

Aliyekuwa mratibu na mhamasishaji wa kampeni za CHADEMA katika uchaguzi
mdogo Arumeru Mashariki, katika kijiji cha Singisi, Anna Silas akikabidhi
kadi ya chama hicho kwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka baada
ya kutangaza kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni ulofanyika jana
katika kijiji hicho. Wengine kutoka kulia ni Mwigulu Nchemba na Sioi


Mwigulu akionyesha kadi za TLP na ya CHADEMA alizokabidhiwa baada ya
aliyekuwa Katibu Mwenezi wa TLP Kata ya Seela Sing'isi, Augustine Kyungani
na aliyekuwa mratibu wa kampeni za CHADEMA Anna Silas kumkabidhi baada ya
kuhamia CCM kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha
Sing'isi jana

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha, Nameloki Sokoine akimuombea kura
mgombea wa CCM Sioi Sumari kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika
Kijiji cha Sing'isi,jana

No comments: