Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (wa pili kushoto) akiwa Mwenyekiti wa Mkutano wa kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, uliofanyika jana, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, pamoja na Wajumbe wengine, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, wakipi makofi kushangilia na kuimba wimbo wa Chama kabla ya kuanza kwa mkutano huo. {Picha na Ramadhan Othman Ikulu} |
No comments:
Post a Comment