To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Friday, March 30, 2012

Lowassa ana kwa ana na Shy-Rose Monduli

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowasa (katikati) akizungumza na Meneja Mahusiano wa Benki ya NMB, Shy-Rose Bhanji ambaye amefika Wilayani Monduli leo kwa kutoa msaada wa sh. 10 milioni uliotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya wahanga wa Mafuriko yaliyoukumba mji wa Mto wa Mbu, Wilayani Monduli. Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Vicky Bis.

Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Jowika Kasunga (kulia) pamoja na DAS wa Monduli, George Mjema wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.

No comments: