To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Monday, March 19, 2012

Lowassa awaasa wanafunzi shuleni Ann’s

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's iliopo Mkoani Morogoro wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa alipotembelea shule yao jana

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mama Regina Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro.

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akisalimiana na Mmoja wa Walimu wa Shule ya Mtakatifu Ann's iliopo Mkoani Morogoro, Sista Martha (kushoto) wakati akiwasili shuleni hapo.Kulia ni Mke wa Lowassa, Mama Regina Lowassa na wa pili kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo, Sista Dennis.

No comments: