To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Sunday, December 19, 2010

Mlimani Alumni Reunion - once or twice a year?????

Wapendwa wana Mlimani popote mlipo,
Kutokana na jinsi sherehe yetu iliyopita majuzi kufana sana,tumeona tuwape nafasi ya kutoa maoni yenu kuhusiana na mipango ya kuwa na sherehe hizi kila mwaka. Je mnaonaje shughuli hii ikirudiwa kila mwaka mara moja au hata mara mbili? Tumesema mara mbili kutokana na kuwafikiria wenzetu ambao wanakaa nje ya nchi ambao wengine huja likizo wakati wa summer na wengine mwisho wa mwaka.
Tunakaribisha maoni yenu,na tutakapopata mawazo ya kutosha basi tutayaongelea pamoja na wengine tuliopo huku nyumbani ili tuone ni jinsi gani tunaweza kufanya shughuli hii kufanyika tena na tena.
Long Live Mlimani Primary!!!

4 comments:

Anonymous said...

I would suggest for the "party" to be twice a year.Mana kuna wanaokuja likizo summer (June -August) na wengine wanakuja December...tupo tayari kujumuika katika maandalizi kwa namna yoyote ile.
mdau,
ughaibuni.

adamjamal said...

is true i would suggest we could have five year gap within the organised party for example such and such will be dealing with ly from 19.. to 19..to avoid inconvinient of going there to find fews of your time, so we can realy say reunion

Anonymous said...

Twice a year kwakweli ni wazo zuri. Yaani summer na end of the year ili nasi tusiokuwepo Tanzania tuweze kuhudhuria pia.

Anonymous said...

twice every year would be too much, it would not be a reunion anymore.would suggest once every two years,and alternating between june/july and december. if it happens every year it would not have the same energy.