To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Wednesday, September 28, 2011

Wakali wa miondoko ya SALSA kutoka Kenya (Mutati Group) lawasili Jijini Dar tayari kwa onesho la jumamosi

Dorah Raymond akimkabidhi maua mmoja kati ya wanamuziki wa kundi la Mutati mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar

Wanamuziki wa kundi la Mutati katika picha ya pamoja na Dorah Raymond (wa pili kushoto)

No comments: