To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Wednesday, October 5, 2011

Aliyebuni iPhone, iPad Na iPod Steve Jobs Afariki Dunia

Steve Jobs

Picha ya mwisho ya Steve Jobs akipelekwa hospitali na rafiki yake

Siku alipozindua iPad
Mwanzilishi wa kampuni ya Apple Steve Jobs amefariki dunia leo baada ya miaka manane ya kupambana na ugonjwa wa saratani. Rambirambi kutoka sehemu mbalimbali zimeanza kumiminika dakika chache baada ya kutangazwa kwa kifo cha Jobs. Amefariki akiwa na umri wa miaka 56. Jobs ndiye aliye gundua simu za iPhone pamoja na iPad na iPod

No comments: