To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Saturday, October 1, 2011

Mkapa Atinga Tena Igunga


Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa leo alifika mjini Igunga kwa ajili ya kufunga kampeni za CCM kesho kwenye Viwanja vya Sokoni, Kata ya Nkinga. Pichani, Mkapa akiwasili kwenye hotel ya Peak mjini Igunga jana jioni.

No comments: