Mgeni Rasmi, Eng. Bi. Margret Muyangi akizungumza na baadhi ya wasichana kutoka Shule mbalimbali za Sekondari wakati wa Tamasha la Kuhamasisha wasichana kujiunga na Mafunzo ya Ufundi na Sayansi |
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha Dkt Richard Masika akizungumza wakati wa Tamasha la Kuhamasisha wasichana kujiunga na Mafunzo ya Ufundi na Sayansi |
DKT. DANIELE PASSALAQUA kutoka mradi wa TTELMS wa Italia akizungumza wakati wa Tamasha la Kuhamasisha wasichana kujiunga na Mafunzo ya Ufundi na Sayansi. |
Baadhi ya Wasichana waliofanya vizuri katika Masomo ya Ufundi na Sayansi katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) walizawadiwa kompyuta |
No comments:
Post a Comment