MTU MMOJA AMEKANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI ILIYOTOKEA MAJIRA YA SAA 12JIONI KWENYE DARAJA LILILOPO NJIA PANDA YA KWENDA MONGO LA NDEGE NA KINYEREZI AMBAPO DEREVA WA LORI AINA YA FUSO LIKIWA NA KOKOTO ALISHINDWA KULIMUDU LILIPOTEREMKA KWA KASI NA KUVAMIA MTI. AJALI HIYO IMETOKEA JIONI YA LEO AMBAPO UTINGO ALINASA NA KUPOTEZA MGUU WA KUSHOTO,SHUHUDA WAMESEMA NI UZEMBE WA DEREVA WA FUSO AMBAYE ALITEREMKA KWENYE KILIMA AKIWA KWENYE MWENDO KASI ASIJUE KAMA KUNA TUTA KABLA YA DARAJA. |
No comments:
Post a Comment