![]() |
| Balozi wa Denmark aliyemaliza muda wake wa kazi nchini Bw. Bjarne Henneberg Sorensen Ikulu akipunga mkono kama ishara ya kuaga wakati alipokuwa akiondoka Ikulu. |
![]() |
| Rais Dk. Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Denmark aliyemaliza muda wake wa kazi nchini Bw. Bjarne Henneberg Sorensen Ikulu. |



No comments:
Post a Comment