To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560                                                 To Advertise on this Blog please Call: O713 397 767 or 0785 555 560
Mail Me

Tuesday, November 29, 2011

Mizengo Pinda Azindua Kiwanda cha Serengeti Mjini Moshi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha SBL mjini Moshi.


Waziri Mkuu Mizengo Pinda, hii leo amezindia kiwanda cha Bia cha Serengeti tawi la Moshi mkaoni Kilimanjaro. Kinwanda hicho cha kisasa na kikubwa kipo eneo la Pasua Boma Mbuzi katika barabara ya Sukari.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mmoja wa Wanahisa wa SBL, Christopher Gachuma mara baada ya kuwasili kiwandano hapo.
Pinda akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda.

Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru



Pinda akifunua kitambaa katika moja ya shughuli za uzinduzi wa mjini mosha. Pamoja nae ni Mwenyekiti wa Badi ya SBL, Jaji Mark Bomani na kati kati yao ni Mkuu wa Moa wa Iringa, Leonidas Gama.



Wafanyakazi wa Kiwanda cha bia cha Serengeti katika pozi la picha

No comments: