Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto na Meneja Mawasiliano wa kampuni hiyo Salum Mwalim wakijadili jambo na Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel wakati wa makabidhiano ya fulana elfu moja zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne zilizotolewa na Vodacom Tanzania,kwa ajili ya kufanikisha tamasha la utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi litakalofanyika ijumaa katika kijiji cha makumbusho jijini Dares salaam. |
No comments:
Post a Comment